• Overview
  • About Seller
  • Review

Karibu Sukerny Catering Service, Tunapika keki za shughuli mbalimbali kama vile sherehe za siku ya kuzaliwa, harusi, maadhimisho ya mwaka wa ndoa na hata sherehe ya kuhitimu, tunazo keki za kipekee zinazofaa kwa kila aina ya tukio. Zote zimetengenezwa kwa utaalamu na ubunifu.


Keki zetu zina ladha nzuri na muonekano la kuvutia. Unaweza kutegemea keki nzuri, isiyosahaulika na iliyoandaliwa kwa umakini zaidi. Wasiliana nasi kabla ya kufanya oda yako.


Tafadhali weka oda mapema ili kuipatia timu yetu muda wa kuandaa keki yako na kuiweka tayari kwa tukio lako. Tunatarajia kusherehekea na wewe kwa njia tamu na ya kipekee! 

What you will get:

  • From Tanga
  • Seller Since 2024

No Review's

Related Services

Tanga, Tanzania
Tunatengeneza keki za kila Aina

Karibu Sukerny Catering Service, Tunapika keki za shughuli mbalimbali kama vile sherehe za siku ya k...

Starting at 30,000 TSh
  • Starting at
  • 30,000 TSh
Available Service Packages
  • Delivery Days: 3
  • One tier Cake
Login to Chat