• Overview
  • About Seller
  • Review

Karibu Mary's Beauty Saloon! Mahali ambapo ubora na mitindo vinakutana katika kutengeneza muonekano wako.


Je, una ndoto ya kusuka nywele kwa mitindo ile ya kisasa? Usiwe na shaka, tunakuhakikishia huduma za kipekee zinazolenga kukuacha ukiwa mwenye muonekano mzuri na wa kuvutia. Iwe nywele za rasta, nywele za kawaida, mpaka mitindo ya kipekee, timu yetu ya wasusi iko hapa kukuhudumia. Wasiliana nasi leo kuweka appointment yako. 


Kumbuka Mary's Beauty Salon, mwonekano wako ni dhamana yetu. Karibu ujionee ubora wa huduma zetu! 


NB: Bei inaweza kubadilika kulingana na mahitaji yako. 

  • From Mwanza
  • Seller Since 2024

No Review's

Related Services

Arusha, Tanzania
Full Body massage

Welcome to Beauty Spa & Barbershop, a haven of relaxation and grooming combined in an exclusive...

Starting at 30,000 TSh
Arusha, Tanzania
Premium Facial Massage

Experience an elevated level of tranquility and rejuvenation with our premium facial massage at the...

Starting at 10,000 TSh
  • Starting at
  • 2,000 TSh
Available Service Packages
  • Delivery Days: 1
  • Kuosha nywele
  • Kusuka nywele za kawaida
  • Kusuka mitindo ya kisasa
Login to Chat